GET /api/v0.1/hansard/entries/1142849/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1142849,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1142849/?format=api",
    "text_counter": 81,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mvita, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
    "speaker": {
        "id": 2433,
        "legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
        "slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
    },
    "content": " Asante sana, Mhe. Naibu Spika, kwa mwelekeo wako. Itabidi tuanze kutembea na kamusi kwa suti zetu. Kama ulivyosema, swali linahusiana na nyongeza zao, pili ni kulipwa zile ada wanazodai na tatu ni kuhusiana na manufaa yoyote mengine yatakayowekwa. Nadhani nimeweza kuliuliza Swali kwa lugha fasaha. Mwisho, nilikuwa nimekudokezea nilipokuwa hapo kuhusiana na ombi langu la kuahirisha swali la pili kwa sababu kuna mambo fulani nimejulishwa – kwamba kuna malipo fulani yatakayofanywa wiki ijayo kwa wafanyakazi wa KPA. Asante sana, Mhe. Naibu Spika."
}