GET /api/v0.1/hansard/entries/1142865/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1142865,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1142865/?format=api",
    "text_counter": 97,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kwale, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zuleikha Hassan",
    "speaker": null,
    "content": " Asante sana, Mhe. Naibu Spika, kwa kunipatia hii nafasi. Naomba kumuuliza Waziri wa Kazi na Masuala ya Kijamii Swali lifuatalo: Wizara itaanza lini kuandikisha upya wazee, mayatima na watu wenye uwezo maalum ili wapokee fedha za msada za Serikali? Asante."
}