GET /api/v0.1/hansard/entries/1144020/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1144020,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1144020/?format=api",
"text_counter": 64,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii. Kwanza kabisa, naunga mkono Hoja hii inayopendekeza kuteuliwa kwa Kamati itakayoongoza shughuli za Bunge la Seneti. Jambo linalonikanganya kidogo ni kuwa inaonekana kwamba kuna Maseneta fulani ambao huwa katika Kamati hii kila wakati."
}