GET /api/v0.1/hansard/entries/1144022/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1144022,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1144022/?format=api",
"text_counter": 66,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Nakubaliana na baadhi ya Maseneta wenzangu. Ni vizuri Maseneta wengine wajumuishwe ili wajue jinsi Kamati hii inavyoendesha shughuli zake. Tunafaa kuendelea mbele na shughuli zetu. Ni Kamati hii ambayo inahusika pakubwa katika shughuli zetu za Bunge. Bw. Spika, ninaunga mkono Hoja hii na kuwasihi wale ambao watateuliwa mwakani kuja hapa Bungeni, pengine mpangilio huo utazingatiwa ili kila mtu ajumuishwe katika Kamati mbalimbali. Hii ndio njia pekee ambapo wengi wetu watapata uzoefu na tajiriba jinsi Kamati zetu zinaendesha shughuli zao hapa Bungeni. Ninaunga mkono Hoja hii na nawapongeza wale walioteuliwa kwa sababu najua ni watu waliobombea na watu ambao wanaweza---"
}