GET /api/v0.1/hansard/entries/1144764/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1144764,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1144764/?format=api",
"text_counter": 283,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mvita, ODM",
"speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
"speaker": {
"id": 2433,
"legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
"slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
},
"content": ", kuna umuhimu ya kuwa wahudumu hawa walioko katika kila sehemu Kenya hii wapatiwe vifaa. Visiwe vifaaa vya kupigana na maradhi pekee yake, lakini pia waweze kupatiwa mafunzo ya huduma ya kwanza inayohitajika ili maafa kama haya yakitokea, kuwe na watu wanaoweza kupigana nayo kwa haraka. Hatusemi kuwa kuna badili ya kuweza kurejesha yaliyotokea, lakini panapo majaaliwa, Inshallah, naomba Bunge hili liweze kupitisha Mswada huu. Kama mwenzangu Daktari alivyozungumza, lazima waweze kupewa vifaa ambavyo vitaweza kuwasaidia."
}