GET /api/v0.1/hansard/entries/1144765/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1144765,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1144765/?format=api",
"text_counter": 284,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mvita, ODM",
"speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
"speaker": {
"id": 2433,
"legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
"slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
},
"content": "Panapo majaaliwa, watakao keti katika Bunge hili baada yetu wataendeleza kuhakikisha kuwa hawa community health workers wataweza kupata fedha za kutosha. Na sisi ambao tutakuwa katika sehemu zengine za kutumikia watu kule mashinani tuweze kuwahudumia kwa kuhakikisha kuwa tumepeana vifaa hivi kwa community health workers mashinani. Nasisitiza tena, jambo hili limetokea siku ambayo tunasoma sheria hii⦠Naibu wa Spika wa muda, kawaida yangu huwa ni mwingi wa kuzungumza ikiwa kuna jambo lolote linalohusiana na jamii, lakini naomba samahani kwa Wanamvita na Wakenya kwa jumla kwa kuwa ntapeana nafasi yangu kwa mwingine. Sio rahisi maneno kutoka baada ya kitendo kama hiki kutokea. Hivo basi, nasisitiza kuwa Mwenyezi Mungu atupatie subira na awaweke pema palipo na wema."
}