GET /api/v0.1/hansard/entries/1144775/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1144775,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1144775/?format=api",
"text_counter": 294,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
"speaker": {
"id": 1612,
"legal_name": "Bady Twalib Bady",
"slug": "bady-twalib-bady"
},
"content": "Tunaunga mkono Mswada huu kikamilifu kwa sababu wahudumu wa afya wa jamii wako katika sehemu zetu na wanafanya kazi kubwa sana. Ni wakati hivi sasa Serikali ya Kenya kutengea wahudumu wa afya wa jamii bajeti yao na wawekwe motisha kwa kazi nzuri wanayoifanya. Watu hawa hawalipwi. Naweza kutoa mfano kutoka eneo langu la Jomvu, ambapo kuna hospitali Miritini, na wengi wanaofanya kazi huko ni wahudumu wa afya wa jamii. Wanaofanya kazi wengi katika Jomvu Model Hospital ni wahudumu wa afya wa jamii. Mikindani pia, wanaofanya kazi ni wahudumu wa afya wa jamii. The electronic version of the Official Hansard Report is for informationpurposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}