GET /api/v0.1/hansard/entries/1144778/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1144778,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1144778/?format=api",
    "text_counter": 297,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Jomvu, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
    "speaker": {
        "id": 1612,
        "legal_name": "Bady Twalib Bady",
        "slug": "bady-twalib-bady"
    },
    "content": "Nachukua fursa hii kusema kuwa nimeona hali hii kwa sababu nilikuwa diwani kutoka mwaka wa 2007 mpaka leo nimekuwa kiongozi katika sehemu yangu. Haya matatizo ndio tunaambiwa kila siku katika sehemu zetu. Hivi sasa katika Bunge hili, tunataka tuweke rekodi kuwa jambo hili tulichangia, na Serikali ikalitia maanani kuona pesa zimepatika ili watu hawa waweze kusaidiwa."
}