GET /api/v0.1/hansard/entries/1144779/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1144779,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1144779/?format=api",
    "text_counter": 298,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Jomvu, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
    "speaker": {
        "id": 1612,
        "legal_name": "Bady Twalib Bady",
        "slug": "bady-twalib-bady"
    },
    "content": "Nachukua fursa hii pia kumpongeza Mhe. ndugu yangu aliyeleta Mswada huu wa maana sana kwa sababu utasaidia maelfu ya watu ambao wanafanya kazi katika nchi hii nzima kwa kuhakikisha kwamba watawekwa katika hesabu ya manufaa ya kuhudumu nchini."
}