GET /api/v0.1/hansard/entries/1144789/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1144789,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1144789/?format=api",
"text_counter": 308,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lungalunga, JP",
"speaker_title": "Hon. Khatib Mwashetani",
"speaker": {
"id": 2163,
"legal_name": "Khatib Abdallah Mwashetani",
"slug": "khatib-abdallah-mwashetani"
},
"content": " Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii ili nichangie maneno yangu mawili matatu katika Mswada huu. Vile vile, ningependa kutoa shukrani ama kumpa kongole Mhe. aliyeleta Mswada huu, kwa sababu umefika kwa wakati wake. Kabla sijaanza kuzungumza, ningependa kutoa salamu za rambirambi kwa kisa kilichotokea Mvita. Tunaomba Mwenyezi Mungu awaweke mahala pema wale waliotangulia ."
}