GET /api/v0.1/hansard/entries/1144793/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1144793,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1144793/?format=api",
    "text_counter": 312,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lungalunga, JP",
    "speaker_title": "Hon. Khatib Mwashetani",
    "speaker": {
        "id": 2163,
        "legal_name": "Khatib Abdallah Mwashetani",
        "slug": "khatib-abdallah-mwashetani"
    },
    "content": "na tulifanye kuwa swala litakalosimamiwa na Serikali kuu ili tukiweka bajeti, Serikali kuu iweke mikakati sawa kuhakikisha kuwa pesa hizo zinatiririka mpaka nyanjani. Nikimalizia, huenda hili likawa nje ya mada, kule kwangu, kwa sababu wakati wa siasa umefika, kuna sehemu inayoitwa Miongoni sehemu ya Kidomaya. Hii ni sehemu ambayo iko na shamba ambalo limekuwa na utata. Ni shamba la Parbat. Hili shamba lease yake iliisha. Hakuna"
}