GET /api/v0.1/hansard/entries/1144795/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1144795,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1144795/?format=api",
"text_counter": 314,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lungalunga, JP",
"speaker_title": "Hon. Khatib Mwashetani",
"speaker": {
"id": 2163,
"legal_name": "Khatib Abdallah Mwashetani",
"slug": "khatib-abdallah-mwashetani"
},
"content": "ambayo yaweza kupitishwa, kuregeshwa au kuongezwa bila ya kupitia c ounty government . Lakini, yasemekana kuwa kuna familia zaidi ya elfu moja na mia mbili amabazo ziko hatarini. Ningependa Bunge hili la Kitaifa liliangalie swala hili kiundani. Niko katika Kamati ya Mashamba, na hili ni swala ambalo tuko nalo mezani. Kupitia kwako, naomba Waziri wa Mashamba atuletee ripoti ya swala hili ili tujue kama hii lease ya Parbat ilikuwa extended au"
}