GET /api/v0.1/hansard/entries/1144797/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1144797,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1144797/?format=api",
"text_counter": 316,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lungalunga, JP",
"speaker_title": "Hon. Khatib Mwashetani",
"speaker": {
"id": 2163,
"legal_name": "Khatib Abdallah Mwashetani",
"slug": "khatib-abdallah-mwashetani"
},
"content": "na ilifanyika kwa mikakati gani nam katika Serikali gani. Serikali ya c ounty mpaka sasa hivi imekataa. Gavana Mvurya, ambaye ni Gavana wa Kwale, amesema hajatia kidole kwa lease hiyo kupeanwa. Sasa hivi tunavyozungumza, wananchi wengi wamewekwa katika senyeng’e, yaani katika fence, na wakati wowote wanaweza kufurushwa. Ikiwa Serikali haitaweza kuchukua mkondo wake na kutumia nguvu zake, sisi kama viongozi na wananchi tunaokaa sehemu hiyo tutatumia njia ambayo sidhani itakuwa njia sawa. Kwa hayo machache, nashukuru. Naunga mkono Mswada huu."
}