GET /api/v0.1/hansard/entries/1146330/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1146330,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1146330/?format=api",
"text_counter": 179,
"type": "speech",
"speaker_name": "Taveta, JP",
"speaker_title": "Hon. (Dr.) Naomi Shaban",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": " Asante sana, Naibu Mwenyekiti wa Muda. Nataka kuunga mkono mapendekezo haya kwa sababu kuna umuhimu wa ukaguzi wa vitabu haswa kwenye yale mashirika yanayopatiwa pesa za umma. Wasije wakazitumia kiholela holela bila kufikiria kuwa zinaweza kukaguliwa. Kwa hivyo, naunga mkono"
}