GET /api/v0.1/hansard/entries/1147397/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1147397,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1147397/?format=api",
    "text_counter": 22,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Khaniri",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 171,
        "legal_name": "George Munyasa Khaniri",
        "slug": "george-khaniri"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, ningependa uniruhusu kujumuika na wewe kukaribisha wageni wetu kutoka bunge za kaunti mbalimbali, ikiwemo Bunge la Kaunti ya Vihiga. Vihiga ni Kaunti ambayo ninawakilisha katika Seneti hii. Tunafuraha kuwakaribisha hapa na nina furaha ya kwamba Bunge la Kaunti ya Vihiga imeweza kupata nafsi nyingi za kutuma wajumbe wengi katika Seneti hii kujifunza mambo mbalimbali ya kuendesha Bunge."
}