GET /api/v0.1/hansard/entries/1147401/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1147401,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1147401/?format=api",
"text_counter": 26,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, mwenzangu Sen. Khaniri amezungumzia nafsi badala ya nafasi. Nafsi na nafasi ni vitu viwili tofauti. Kaunti ya Vihiga imepata nafasi nyingi kuleta wafanyakazi wake hapa Bunge kusoma. Kwa hivyo, sio nafsi, ni nafasi."
}