GET /api/v0.1/hansard/entries/1147482/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1147482,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1147482/?format=api",
    "text_counter": 107,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "The Temporary Speaker",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": " Sen. Cherargei, pengine wacha sana kuzungumza kana kwamba unamkemea Waziri. Hata hivyo, kulingana na vile ambavyo nilikuwa nikifuatilia Mjadala huu kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Ukulima, Ufugaji na Uvuvi, kuna mambo ambayo aligusia. Nilisikia akisema yule Waziri amekuwa akipeana kile ambacho aliita hongo ya elfu moja moja kwa kila mkulima katika mikutano. Sijui kama ni kweli. Sen. Cherargei, tafadhali jihusishe na mswada wenyewe bila hasa kumuingiza Waziri katika hayo mambo. Pengine taja tu maneno ambayo unajua lakini sio kuleta nia mbaya kwake."
}