GET /api/v0.1/hansard/entries/114795/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 114795,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/114795/?format=api",
    "text_counter": 289,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Yakub",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 378,
        "legal_name": "Sheikh Yakub Muhammad Dor",
        "slug": "sheikh-dor"
    },
    "content": "Ningependa kumkumbusha Waziri wa Fedha kwamba kuna pesa ambazo wazee waliofanya kazi kwenye idara saba za Afrika Mashariki iliyovunjwa hawajalipwa kwa miaka 32. Ninatarajia kabla ya Bajeti itakayosomwa mwezi wa June, wazee hao watapewa haki yao. Wamekaa kwa miaka 32 bila kupewa haki yao. Waziri alikubali kwamba pesa ziko na inafaa mipangilio ifanywe haraka ili wazee hao wapewe haki yao. Pia, ningependa kumukumbusha kwamba kuna pesa zile ambazo --- Kwa hayo machache, ninaunga mkono Hoja hii."
}