GET /api/v0.1/hansard/entries/1151155/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1151155,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1151155/?format=api",
"text_counter": 70,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Sen. Kavindu Muthama ni makamu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Delegated Legislation na anafanya kazi nzuri sana. Kwa hivyo, ni wajibu wetu sisi pia kumuunga mkono wakati ana jambo lake. Vile vile anapokwenda kujiunga na Wakenya wengine katika kushiriki katika uchaguzi mkuu ujao wa tarehe tisa mwezi wa nane mwaka huu, tunamtakia kila la heri. Tunaomba wakaazi wa Machakos mmrejeshe tena kwa sababu amefanya kazi kwa mwaka mmoja pekee na kazi yake ni nzuri."
}