GET /api/v0.1/hansard/entries/1151852/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1151852,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1151852/?format=api",
"text_counter": 92,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Mhe. Spika, sheria hii itasaidia kuendeleza usafi katika miji yetu. Itasaidia pia kupata wawekezaji ambao wataweza kusaidia kwa kuleta maendeleo kwa kutumia vifaa visivyotumika tena. Iwapo sheria hii itapitishwa, itakuwa ni njia moja ya kukuza uwekezaji na nafasi za kazi katika maeneo yetu."
}