GET /api/v0.1/hansard/entries/1152784/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1152784,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1152784/?format=api",
"text_counter": 156,
"type": "speech",
"speaker_name": "Taveta, JP",
"speaker_title": "Hon. (Dr.) Naomi Shaban",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": "Mhe. Spika, Baba huyu wa taifa alikuwa mpenda watu. Hakuwa mwingi wa maneno, bali mwingi wa vitendo. Alikuwa anataka kusikia Wakenya wanapata faida gani, na ulipotaka kumweleza chochote, ungemweleza Wakenya wangefaidika kivipi mwanzo. Rais Mwai Kibaki alikuwa na upendo kwa watu wake, na alikuja na njia tofauti sana ya kufanya kazi, ambayo nilitoa shukrani kwake kwayo. Nikikumbuka, baada ya vita na matatizo tuliyokuwa nayo baada ya uchaguzi wa 2007, alisimama kidete na kuhakikisha ya kuwa Wakenya---"
}