GET /api/v0.1/hansard/entries/1153264/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1153264,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1153264/?format=api",
    "text_counter": 204,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "nilipochaguliwa kama Mwenyekiti wa Shirika la Ukulima nchini Kenya, Mhe. Mwai Kibaki ndiye alichaguliwa kuwa Rais. Huo ndio wakati ambapo tulikutana wakati wa Maonyesho ya Kilimo, ambayo yanafanyika kila mahali nchini Kenya. Tulizunguka na yeye nikiwa Mwenyekiti wa Shirika la Ukulima naye akiwa Rais wa Jamhuri ya Kenya na Patron wa kilele cha wakulima wa Kenya. Kila tulipokuwa na maonyesho hayo, kama patron, ilibidi aje kufungua maonyesho kirasmi. Nilikuwa karibu sana na yeye kiasi cha kupanda gari la Commander-in-"
}