GET /api/v0.1/hansard/entries/1153267/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1153267,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1153267/?format=api",
    "text_counter": 207,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Rais. Siwezi kusema ni nani sasa, lakini tunajua yule Rais wangu ndiye atakaye kuwa Rais wa Jamhuri ya Kenya. Kwa hivyo, ikiwa ni yeye ndiye atakaye kuwa Rais, tuna imani kwamba yeye ataweza pia kuiga mfano wa Rais Kibaki, kwa sababu walikuwa pamoja katika Serikali ya “Nusu Mkate.” Ikiwa yeye ataenda kuongoza hii nchi yetu, basi jambo la kwanza la yeye kufanya kama Rais wa Jamhuri ya Kenya ni kupigana na ufisadi kama vile Rais Mwai Kibaki alipigana na ufisadi. Asante Bi Spika."
}