GET /api/v0.1/hansard/entries/1155041/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1155041,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1155041/?format=api",
"text_counter": 483,
"type": "speech",
"speaker_name": "Taveta, JP",
"speaker_title": "Hon. (Dr.) Naomi Shaban",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": " Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Naunga wenzangu mkono ya kwamba wakati huu kila kitu ulimwengu kwote kinafanywa kupitia mitandao ya teknolojia. Wakenya tunajiunga na wengine ulimwenguni ili kufanya mambo kwa mtindo wa kisasa. Ni dhahiri kuwa ulimwengu mzima sasa umekuwa kijiji kimoja. Kwa vile umekuwa kijiji kimoja, pia sisi Wakenya tunajiunga na wenzetu ili tuwe kijijini mle na tuweze kufanya shughuli zetu tukipitia dirisha hili la teknoloji ili tuwe na mitindo ya kisasa. Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda."
}