GET /api/v0.1/hansard/entries/1155203/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1155203,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1155203/?format=api",
"text_counter": 69,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": " Asante, Mheshimiwa Spika. Naunga wenzangu mkono, lakini sitakupa pongezi. Tuna masikitiko. Mheshimiwa Spika ni muungwana. Alikuja Lamu kutufungulia maternity shelter, lakini mtu yeyote aliye mbali na Rais Uhuru Kenyatta atanisamehea. Uhuru ni Rais. Uhuru ni Rais. Uhuru ni President. Mumpe heshima yake. Mumpe heshima yake. Msiniletee. Ni Rais wenu na mtamtambua. Akitoka mtajua kama alifanya au hakufanya."
}