GET /api/v0.1/hansard/entries/1156134/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1156134,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1156134/?format=api",
    "text_counter": 41,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Ni kweli kwamba chakula ni muhimu kwa mwili wa binadamu. Kama inavyojulikana, Kenya ni nchi ya ukulima. Ni jambo la aibu kwamba Wakenya wanahangaika kwa sababu ya ukame ambao umesababisha ukosefu wa chakula."
}