GET /api/v0.1/hansard/entries/1156135/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1156135,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1156135/?format=api",
    "text_counter": 42,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Yote hayo yanasababishwa na ukosefu wa nidhamu miongoni mwa wale walio na jukumu la kuhakikisha kuwa kuna chakula cha kutosha nchini. Wale wanaopewa majukumu hawayatimizi ili kuhakikisha kuna chakula cha kutosha nchini."
}