GET /api/v0.1/hansard/entries/1156136/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1156136,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1156136/?format=api",
    "text_counter": 43,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Wizara ya Ukulima, Mifugo, Samaki na Mashirika inahusika na mambo ya chakula nchini. Hata hivyo, maafisa wengi wanazembea katika kazi zao kwa sababu hakuna mbolea. Kuna maeneo ambapo mashamba yanafaa kunyunyiziwa maji ili kupatikane chakula lakini hilo halifanyiki."
}