GET /api/v0.1/hansard/entries/1157336/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1157336,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1157336/?format=api",
    "text_counter": 84,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "The Temporary Speaker",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": " Asante, Sen. Mwaruma. Wale ambao nitapatia fursa sasa waongee kwa muda mchache ndio tuweze kujadili haya maneno mengine yaliyoko. Nakubaliana na wewe Sen. Mwaruma ya kwamba, jambo la fidia limekua swala nyeti. Sio wanyama wa nyumbani na mimea peke yake ambayo wale wanyama wa porini wanashambulia; wanashambulia hata binadamu. Ukitembea sehemu nyingine hata Kaunti ya Laikipia, unapata kilio ni hicho hicho na hakuna kufidiwa. Sen. Kasanga, fursa ni yako sasa."
}