GET /api/v0.1/hansard/entries/1157921/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1157921,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1157921/?format=api",
    "text_counter": 301,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Wundanyi, WDM-K",
    "speaker_title": "Hon. Danson Mwashako",
    "speaker": {
        "id": 13509,
        "legal_name": "Danson Mwashako Mwakuwona",
        "slug": "danson-mwashako-mwakuwona"
    },
    "content": "Mhe. Naibu Spika wa Muda, sheria hii ambayo tunaunga mkono leo imekuja wakati ambao ni mwafaka. Hakuna haja ifike mwezi wa nane, tarehe tisa, alafu kwanza twende uchaguzi na maswali ama dukuduku ambazo hazikuangaziwa wakati Bunge lilikuwa na nafasi ya kuketi. Sheria hii inaeleza kinaga-ubaga kwamba mpigaji kura mahali popote nchini akitaka kubadilisha eneo lake la kupiga kura, basi anaruhusiwa iwapo ataweka maombi katika Tume Huru ya Uchaguzi na The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}