GET /api/v0.1/hansard/entries/1157924/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1157924,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1157924/?format=api",
    "text_counter": 304,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Wundanyi, WDM-K",
    "speaker_title": "Hon. Danson Mwashako",
    "speaker": {
        "id": 13509,
        "legal_name": "Danson Mwashako Mwakuwona",
        "slug": "danson-mwashako-mwakuwona"
    },
    "content": ". Wananchi wengi walitaabika sana kubadilisha sehemu zao za kupiga kura. Ilistahili kwamba mtu aende pale ambapo ameishi kwa muda wa miezi sita kabla ya kuomba kubadilisha kituo cha kupiga kura. Wakenya wengi wamesafiri. Tunakumbuka kwamba tumetoka katika janga la COVID-19. Watu wengi walihama makao yao wakarudi mashambani. Walipoenda kubadilisha kura, waliambiwa hawajakaa huko miezi sita. Chifu wa eneo lile anakataza watu fulani wabadilishe kura. Sheria hii inafanya mambo haya yawe rahisi."
}