GET /api/v0.1/hansard/entries/1157926/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1157926,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1157926/?format=api",
"text_counter": 306,
"type": "speech",
"speaker_name": "Wundanyi, WDM-K",
"speaker_title": "Hon. Danson Mwashako",
"speaker": {
"id": 13509,
"legal_name": "Danson Mwashako Mwakuwona",
"slug": "danson-mwashako-mwakuwona"
},
"content": "Mhe. Naibu Spika wa Muda, naunga mkono sheria hii asilimia mia moja. Ijulikane nchi nzima kwamba kila mara tunapogundua kwamba sheria ina matatizo, itatuzuia tusifikie malengo ya nchi, basi, hata kama ni siku gani, Bunge la Kitaifa lina ruhusa ama uwezo wa kikatiba wa kubadilisha sheria hiyo. Naunga mkono Mswada huu."
}