GET /api/v0.1/hansard/entries/1158562/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1158562,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1158562/?format=api",
"text_counter": 183,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Maison Leshoomo",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Samburu (CWR), KANU): Ahsante sana, Mhe. Spika. Wanasheria wamefanya kazi katika BBI. Naunga wenzangu mkono. Kulingana na vile Mahakama imesema kuhusu sheria ya BBI, hakuna mtu anaweza sema tumeshinda ama tumeshindwa. Wanasheria wamefanya kazi yao. Maoni ni ya wananchi. Bado tunatarajia BBI itarudi na itakuwa sawa. Wale ambao wanataka kusherehekea, wafanye hivyo kama kawaida. Wanasherehekea kitu ambacho hakina mguu, mbele na nyuma. Washerehekee, lakini BBI bado iko kwa laini."
}