GET /api/v0.1/hansard/entries/1158798/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1158798,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1158798/?format=api",
    "text_counter": 38,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Hivi sasa, tunaelekea katika mambo ya uchaguzi. Ningewauliza watu wa Machakos wenyewe, wakiongozwa na nyinyi kama viongozi, wafanyikazi wa huko na wananchi wanaoishi ndani ya Machakos, kwamba si jambo la kushutua sana ikiwa mama atapata nafasi ya kuchaguliwa tena katika uchaguzi utakaofuata. Kwa hivyo, asanteni sana kwa kuja hapa. Nafikiria yale mambo yote ambayo mmejifunza hapa yatakwenda kwa muda kusaidia Kaunti ya Machakos."
}