GET /api/v0.1/hansard/entries/1158803/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1158803,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1158803/?format=api",
"text_counter": 43,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bw. Spika, singependelea kabisa kumkatiza ndugu yangu kwa sababu sote tunasema kongole kwa wale waliokuja kutoka Machakos. Hata hivyo, sijui ametumia mistari gani ya Kizungu. Sikuelewa kama ni Kizungu, Kiswahili ama Kimaasai, vile alikuwa akisema kwamba angetaka Kimaasai kisajiliwe hapa pia. Ameongea katika lugha ambayo sikuifahamu. Sijui kama hivyo ni sawa ama si sawa. Naomba kama angeweza kufafanua kisawasawa."
}