GET /api/v0.1/hansard/entries/1160769/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1160769,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1160769/?format=api",
"text_counter": 35,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Pili, tunajua kuwa kumpoteza Spika katika Bunge ni pengo kubwa sana. Halijatokea hapa kwetu na hatuombi litokee. Kumpoteza Spika katika Bunge, kunapatikana wakati mgumu sana. Majonzi kama hayo sio viatu vinavyoweza kuvaliwa na mtu mwingine."
}