GET /api/v0.1/hansard/entries/1160770/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1160770,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1160770/?format=api",
    "text_counter": 36,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Tulikutana na Mheshimiwa Oulanyah wakati wa michezo ya Waheshimiwa wa Bunge la Afrika Mashariki tukiwa Kampala, Uganda. Tulikuwa huko kwa wiki mbili. Wakati wa jioni, tulikukaa naye, tukala chakula cha usiku. Tunamkumbuka, Mheshimiwa Oulanyah kama mtu mcheshi."
}