GET /api/v0.1/hansard/entries/1160777/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1160777,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1160777/?format=api",
    "text_counter": 43,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wambua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13199,
        "legal_name": "Enoch Kiio Wambua",
        "slug": "enoch-kiio-wambua"
    },
    "content": "Nachukuwa nafasi hii kwa niaba yangu na ya wakaazi wa Kaunti ya Kitui ninaowakilisha katika Bunge la Seneti, kutuma risala za rambirambi kwa familia, jamii, Bunge la nchi jirani ya Uganda, kufuatia kifo cha Spika wao. Ninawapa pole Maspika wote wa Bunge za Jumuia ya Afrika Mashariki kwa kumpoteza mwenzao aliyekuwa kiongozi baina yao."
}