GET /api/v0.1/hansard/entries/1160778/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1160778,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1160778/?format=api",
    "text_counter": 44,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wambua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13199,
        "legal_name": "Enoch Kiio Wambua",
        "slug": "enoch-kiio-wambua"
    },
    "content": "Niseme kwa kifupi kwamba hili janga la saratani limetupokonya viongozi na watu wengi katika eneo la Afrika Mashariki. Ingekua ni jambo la muhimu sisi kama viongozi tungejitolea na kuhakikisha kwamba tumefanya juu chini kuweka hospitali na vifaa vinavyotakikana kukabiliana na janga hili."
}