GET /api/v0.1/hansard/entries/1160779/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1160779,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1160779/?format=api",
"text_counter": 45,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wambua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13199,
"legal_name": "Enoch Kiio Wambua",
"slug": "enoch-kiio-wambua"
},
"content": "Ni jambo la kusikitisha kwamba wakati mwingi viongozi, wetu wakiwa na huu ugonjwa, wanaenda nchi za nje kupata matibabu. Sio watu wengi wanaweza kwenda nje kutafuta matibabu. Kwa sababu ugonjwa huu haubagui viongozi wala wananchi wa kawaida, ingekuwa ni jambo la busara kuweka mikakati ya kutosha kuwa na vifaa na hopsitali za kukabiliana na janga hili."
}