GET /api/v0.1/hansard/entries/1160793/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1160793,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1160793/?format=api",
    "text_counter": 59,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Musuruve",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13188,
        "legal_name": "Getrude Musuruve Inimah",
        "slug": "getrude-musuruve-inimah"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, nashukuru sana kwa nafasi hii umenipa ili kuwasilisha rambi rambi zangu kwa Waganda na jamii ya Spika mwendazake. Ni uchungu sana kumpoteza Spika. Wakati wa michezo Spika wa Uganda alikuwa mwepesi kwa kutengeneza urafiki. Kwa niaba yangu na ya watu walemavu, ningependa kusema pole sana kwa Waganda kwa kumpoteza kiongozi aliyekuwa mshupavu. Bunge la Uganda linaomboleza na tunaomboleza pamoja nao. Tunaomba Mungu aweze kuwafariji kwa kuwa ni yeye mwenye faraja. Pia ninaomba Mwenyezi Mungu aweze kuidumisha na kuisaidia jamii ya Spika, haswa wakati huu wanapopambana na msiba huu. Mungu aweze kuwarehemu. Asante."
}