GET /api/v0.1/hansard/entries/1160797/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1160797,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1160797/?format=api",
"text_counter": 63,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Waheshimiwa Maseneta, Ibara 120 ya Katiba ya Kenya inaeleza kwamba lugha rasmi za Bunge la Kenya zitakuwa Kiingereza, Kiswahili na Lugha Ishara ya Kenya. Kwa kuongezea, kwamba shughuli za Bunge zinaweza kuendeshwa kwa lugha zilizotajwa. Isitoshe, Kanuni ya Kudumu ya 87 (1) ya Kanuni za Kudumu za Seneti"
}