GET /api/v0.1/hansard/entries/1160800/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1160800,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1160800/?format=api",
"text_counter": 66,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(2) Dkt. Prisca Jerono - Chuo Kikuu cha Nairobi (3) Prof. Clara S. Momanyi - Chuo Kikuu cha Moi (4) Bw. Nuhu Bakari - Chuo Kikuu cha Moi Tatu, shukrani zetu za dhati zinawaendea Sen. (Dkt.) Agnes Zani, CBS, na Sen. (Dkt.) Isaac Mwaura, CBS, kwa kupata muda kutokana na shughuli zao nyingi ili kutoa ujuzi wao wa Kiswahili kwenye mchakato wa tafsiri. Mwisho, shukrani za kipekee ziiendee Kamati ya Uratibu na Kanuni kwa kuongoza mchakato wa kutafsiri na kutoa nakala za Kiswahili na Uwililugha za Kanuni za Kudumu. Kamati hii inajumuisha: 1. Sen. Kenneth M. Lusaka, EGH, - Spika wa Seneti (Mwenyekiti) 2. Sen. (Prof.) Margaret Kamar, EGH - Naibu Spika wa Seneti"
}