GET /api/v0.1/hansard/entries/1160806/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1160806,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1160806/?format=api",
"text_counter": 72,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Asante, Bw. Spika wa Muda. Nilikuwa pia nataka kumwambia yule ndugu yangu, Sen. Cheruiyot, Seneta wa Kericho, kama anataka hizi nakala, anawezazipata katika ofisi za maofisa wetu. Akienda hata sasa hivi, atazipata nakala hizo ambazo zitamueleza vyema. Ndugu yangu Sen, Cheruiyot na Sen. Olekina, waende huko watapata hizo nakala."
}