GET /api/v0.1/hansard/entries/1160810/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1160810,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1160810/?format=api",
"text_counter": 76,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, ni jambo la heshima na la kusifu ya kwamba shughuli za bunge sasa zinaweza kuendeshwa kwa lugha ya Kiswahili, Kizungu na pia lugha ya Ishara. Hili ni jambo ambalo linatufanya sisi kujivunia kuwa Wakenya, ya kwamba tuko na lugha tatu ambazo tunaweza kutumia katika nchi yetu."
}