GET /api/v0.1/hansard/entries/1160811/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1160811,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1160811/?format=api",
    "text_counter": 77,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, kuna umuhimu wa kunukuu hizi kanuni za kudumu za Seneti. Kwa mda mrefu sana, imekuwa vigumu sana kunukuu Standing Order s au Kanuni za Kudumu. Kwa hiyo ilikuwa ni jambo zuri kupata tafakari au tafsiri za Kanuni za Kudumu za Seneti ili Maseneta waweze kujua. Bw. Spika wa Muda, kumekuwa na uhaba kwa maseneta wengi. Hata huyu Seneta aliye mbele yangu, Sen. Olekina, ana tabia hiyo ya kuketi mbele ya wenzake wakiwa wanaongea. Nikiongea nataka nikuangalie sura."
}