GET /api/v0.1/hansard/entries/1160812/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1160812,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1160812/?format=api",
"text_counter": 78,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, ni vyema kuona ya kwamba Kanuni Za Kudumu Za Seneti zimechapishwa kwa hii lugha ya Kiswahili. Ninatumai kuwa zitaendelea kusaidia. Na isiwe mwisho peke yake kutengeneza hizi Kanuni za Kudumu. Kanuni za Kudumu mara kwa mara zinageuka. Kwa hiyo itahitaji Kamati hiyo ya iketi na kuangalia zile kanuni zilizogeuka ziweze pia kutafsiriwa vingine."
}