GET /api/v0.1/hansard/entries/1160816/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1160816,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1160816/?format=api",
"text_counter": 82,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": ", Moi University na Kenyatta University . Nawapongeza wenzetu hao walihusika sana kutengeneza hizi Kanuni Za Kudumu. Hususan, ningependa kupeana kokongole zangu, kwa wale Maseneta walioko hapa ndani, ikiwemo Seneta dada yetu msomi, Sen. (Dr.) Zani na ndugu yetu Sen. (Dr.) Mwaura, ambaye hayupo sasa hivi. Nafikiria ako katika ile hali ya kuzunguka huku na huku, akitafuta kura za United Democratic Alliance (UDA) badala ya kuja hapa ndani na kufanya kazi. Vilivile, yeye pia tunampatia kokongole, kwa sababu alikuwa mmoja ya wale watu ambao waliketi na wakatafakari ili kunukuu hizi kanuni za kudumu katika bunge letu la Seneti."
}