GET /api/v0.1/hansard/entries/1160824/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1160824,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1160824/?format=api",
"text_counter": 90,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Olekina",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 407,
"legal_name": "Ledama Olekina",
"slug": "ledama-olekina"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, ati uraibuni? Si useme kwa lugha ya Kiswahili. Sasa unafanya iwe complicated tena, si nitashindwa hata kucontribute. Bw. Spika wa Muda, ningependa kukushukuru kwa kunipa nafasi hii ili pia mimi nijifunze Kiswahili katika Bunge la Taifa la Kenya. Kwa kweli kabisa, hili ni jambo ambalo lingefanywa hapo mwanzo. Lakini---"
}