GET /api/v0.1/hansard/entries/1160827/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1160827,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1160827/?format=api",
"text_counter": 93,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wambua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13199,
"legal_name": "Enoch Kiio Wambua",
"slug": "enoch-kiio-wambua"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, nina hoja ya nidhamu. Ndugu yangu, Seneta wa Kaunti ya Narok, anasema anajifunza Kiswahili katika Bunge la Kitaifa. Sisi hapa tuko katika Bunge la Seneti. Bunge la Kitaifa ni National Assembly . Ni kumkosoa tu kidogo."
}